Nashukuru Mungu kwa kunilinda mwaka mzima,
Siunajua kuna wengi walituacha wakazima,
Lakini bado uko na uzima
Na wengine hosipitali wanalishwa kwa mipira imeunganishwa na stima,
Lakini mimi natafuna tu vizuri githeri na sima,
Acha Mungu apewe heshima
Vitu umefanya ata uwezo wakukulipa sina
Ulinipenda ukaniokoa when i was a sinner,
Nasema vitu God amefanya they are great si minor,
Great kama student wa matiangi akipata above C minus

Naelewa huu mwaka umekuwa hatari,
Kuna wengi walipoteza mali,
Case za break ups tumewitness kila mahali,
Na mwingine alinyang'anywa bibi coz hajalipa mahari,
Hata Rafiki yangu Larry alikuwa ameplan kumarry, kabla huu mwaka haujaisha
Lakini bado yuko single coz wasichana wetu wanatafuta mwenye ako na gari na nyumba za kifahari

Shukuru Mungu kama uko salama,
Wengine juzi waliangamia kwenye road accident Mombasa road huko salama,
Wengine kwa mabiashara wamepata gharama,
Juzi rafiki yangu amepoteza mama
(Moment of silence )RIP mama Mercy na Lucas

Yaani Yesu nakupenda na kwako sitahama,
Sijui niongezee mistari sita ama,
Coz vile Umenitendea nashuhudia na confidence siezi stammer,
umeconfuse seasons hadi winter kwangu nikama summer
We ni Jehovah nissi Jehova Shammer,

Rafiki zangu huu ni mwaka Wa urejesho
Kama ulijitahidi jipange sasa ule jasho,
God ako na hesabu ya life yako ya kesho,
Atakupromote uingie kwa ofisi uache io kazi ya Casual
Its your spoken word star Dannypdalton as usual,
Clear sound kama Johnttez wa krucial,
Na hii Ni audio tu ngojeeni vitu visual,
A prosporous Happy new year is what i wish you all

@Dannypdalton
#spokenword
#Mzikisanainjilisana
#spokenword
#Mzikisanainjilisana